Tunashona nguo papo kwa papo ndani ya siku moja.
Tunafuma na kupiga logo za aina tofauti .
Tunapokea oda kwa wateja wote jumla na rejareja.
Tunazingatia muda na matakwa ya mteja.
Tunakuletea bidhaa hadi ulipo bure .
Kwa wateja wa kudumu hupatiwa ofa.
Managing Director
Head OF Finance and Management
Manager, Ushoni
Manager, Viatu
© 2023 Viwanda Vya Idara Maalum Za SMZ. All rights reserved | Design by Viwanda vya Idara Maalum za SMZ